2012 African Cup of Nations.

Ghana vs. Zambia sio mechi ya kukosa, leo nimeona Ghana wanakitukingine cha ziada, wanaweza kuwa'frustrate' wachezaji wa timu hasa A. Ayew, ndicho kilichowawezesha kushinda mechi hii. Lakini bado turufu yangu ni kwa Chipolopolo

Yametimia, Zambia ni Mabingwa wa Bara la Afrika 2012. Hongera sana Wazambia.
 
omg.....wtf!!!!
 
What a weekend.....

Arsenal jana kashinda....

Yanga leo kashinda.....

Real Madrid leo kashinda.....

Zambia kashinda na kuchukua AFCON....

Hakika Mungu ni mkubwa.......

Tatizo ni hapo kwenye Arsenal na Yanga, pengine pote tuko pamoja!
 
kuna vijana hawa watatu.........Sinkala, Chansa na Sunzu (sijui kama nimepatia majina yao)...........hawa ni siri kubwa ya mafanikio ya Chipos!...........hongereni sana majirani Zambia!!
 
kuna vijana hawa watatu.........Sinkala, Chansa na Sunzu (sijui kama nimepatia majina yao)...........hawa ni siri kubwa ya mafanikio ya Chipos!...........hongereni sana majirani Zambia!!

Ongeza na Katongo!
 
Hero's welcome for Zambia's champions
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…