darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Sio Mchezo MzeeKwasasa gari ni expensive sana tofauti na miaka ya nyuma ,enzi za zamani gari zilikuwa zinashuka thamani kadri siku zinavyosogea eg Range rover zilikuwa zinauzwa bei ya hatari enzi ndiyo zipo kwenye chati ila kwasasa hadi 30m unavuta Range Sports ,enzi zetu wakati Mark X zinaingia zilikuwa used zinauzwa around 35 hadi 40 ila price zikaja kushuka ,miaka hii ya WAHUNI yaani IST tuliyokuwa tunanunua kwa 8.5m enzi za jakaya leo hii eti zinauzwa 22m.
Hatari sana ,hawa WAHUNI wanatumaliza.Sio Mchezo Mzee
Balaa tupuHatari sana ,hawa WAHUNI wanatumaliza.
Balaa tupuHatari sana ,hawa WAHUNI wanatumaliza.
Unyama sanaBei/Price=TSH 25M
Call +255 747 999 927
AUDI A4 TFSI TURBO
Year: 2012
Engine: 2.0L
Mileage: 35,700+
Transmission: AUTOMATIC
Cruise Control
LED Headlights
Dual-Zone Climate
100% Duty Paid
Swap Deals Available
Zero Registration Cost