2012 kili music awards nominees

2012 kili music awards nominees

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,407
[h=3]WaKATI NCHI IKO Kwenye janga kubwa la afya kuwahi kutokea, na wengi wakitaharuki baada ya kusoma matokeo ya kidato cha nne...huko kwenye burudani yanayojiri ni haya!

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2012 NOMINEES;[/h]
WIMBO BORA WA MWAKA​
1. Hakunaga / Suma Lee​
2. Dushelele / Ally Kibba​
3.Moyo Wangu / Diamond​
4.Mathematics / Roma​
5. Nilipe nisepe / Belle 9​
6. Riz one / Izzo B​

MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME​
1. Diamond​
2. Allykiba​
3. Dully sykes​
4. Bob Jr​
5. Mzee Yusuph​

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE​
1.Khadija Kopa​
2. Isha Mashauzi​
3. Queen Darleen​
4. Dayna​
5. Shaa​

MUIMBAJI BORA WA KIUME​
1. Alikiba​
2. Barnaba​
3. Diamond​
4. Belle 9​
5. Mzee Yusuph​

MUIMBAJI BORA WA KIKE​
1. Lina​
2. Lady Jay Dee​
3. Khadija Kopa​
4. Dayna​
5. Isha Mashauzi​

WIMBO BORA WA R&B​
1. Nilipe Nisepe / Belle 9​
2. Usiniache / Hemed​
3. Maumivu / Ben Pol​
4. Number one fun / Ben Pol​
5. Napata raha / Jux​

WIMBO BORA WA HIP HOP​
1. Famous​
2. King Zilla​
3. Mathematics​
4. Riz one​
5. Kilimanjaro​

MSANII BORA WA HIPHOP​
1. Godzilla​
2. Roma​
3. Izzo b​
4. Joh Makini​
5. Fid Q​

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI​
1. Kigeugeu​
2. Chokoza​
3. Mulika mwizi​
4. Coming home​
5. 4sho 4 shizzle​

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA​
1. Maco Chali​
2. Pancho Latino​
3. Bob jr​
4. Maneck​
5. Man walter​

VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA​
1. Moyo wangu​
2. Hakunaga​
3. Wangu / Jay dee na Blue​
4. Ndoa ndoana / Kassim feat blue​
5. Bongo fleva / Dully sykes​

WIMBO BORA WA AFRO POP​
1. Hakunaga / suma lee​
2. Bongo fleva / Dully sykes​
3. Moyo wangu / Diamond​
4. Mawazo / Diamond​
5. Nai nai / Ommy dimpoz​

MSANII BORA ANAECHIPUKIA​
1. Ommy dimpoz​
2. Darasa​
3. Recho​
4. Abdul kiba​
5. Beatrice aka nabisha​

WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA​
1. Daima milele / Barnaba​
2. Dushelele / Alikiba​
3. Nivute kwako / Dayna​
4. Wangu / Jay Dee feat Blue​
5. Kizungu zungu / Recho​

MTUNZI BORA WA MWAKA​
1. Diamond​
2. Alikiba​
3. Mzee yusuph​
4. Barnaba​
5. Belle 9​

WIMBO BORA WA KUHSIRIKIANA​
1. Famous / Jay Mo feat P Funk​
2. King zilla / God zilla feat Marco chali​
3. Wangu / Jay Dee feat Blue​
4. Kama ni gangstar / Chege feat Temba na Ferouz​
5. Nai nai / Ommy dimpoz feat Alikiba

WIMBO BORA WA REGGAE
1.Mazingira / Malfred feat Lutan Fyah
2. Arusha gold / Warriors from East
3. Give it up to me / Delyla princess
4. Nia yao / 20%
5. Ni wewe/ Nakaaya

WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL
1. Good look / AY feat Miss Trinity
2. Maneno maneno / Queen Darleen
3. Ganja man / Dabo
4. Kudadeki / Malfred
5. Poyoyo / Malfred

WIMBO BORA WA TAARAB
1. Full stop / Khadija Kopa
2. Mamaa mashauzi / Isha Mashauzi
3. Hakun mkamilifu / Jahazi
4. Nani kama Mama / Isha Mashauzi
5. Nilijua mtasema / Jahazi

WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1. Dunia Daraja / African stars
2. Hukum ya Mnafik / Mashujaa band
3. Falsafa ya Mapenzi / Extra bongo
4.Usia wa babu / Mapacha Watatu
5. Mtenda /Extra Bongo

RAPA BORA WA MWAK A(BAND)
1. Kalidjo Kitokololo
2.Khalid Chokoraa
3. Fagason
4. Msafiri Diof
5. Totoo ze Bingwa
 
Mh diamond na suma lee na ali kiba wako almost kila category!
 
Ina maana propaganda YA FID Q haipo kwenye nyimbo bora ya HIP HOP?
 
Bado tuzo zina kasoro nyingi;
1.Inachekesha msanii chipukiz kumuweka Beatrice,Recho halafu akakosekana dogo Aslay.
2.Lamar kutowekwa kwenye category ya uproducer bora.
3.Mziki wa hiphop kupewa nafasi ndogo,only two categories.
4. Mziki wa Rege kuwekwa kwenye rnb eg Usiniache wa Hemed.
 
this time ndio wameboronga kupita maelezo, mi nadhani hizi tuzo huwa zimeshapangwa kabla, haya mengine ni matimizo tu wananchi waone kama kuna kura zimefanyika na nini lkn kitambo watu wao wameshawateua....
 
Hata sam wa ukweri hayupo na chid benz hayupo.Eid hajawekewa nymbo dic damn na ney wa mitego hayupo
 
Nyimbo za gospel ndo wamezitupa kabisa? haya na mchiriku hakuna, nyimbo za asili au mimi ndio sijaona?
 
Back
Top Bottom