2012 NBA All-Star Game

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720

Wakuu February 26, 2012 ndio game na starter wameshatajwa....kama kawa Dwight Howard kaongoza kura kwa Eastern Conference na Kobe kaongoza kwa Western Conference......
East – Derrick Rose (Bulls), Dwayne Wade (Heat), Lebron James (Heat), Carmelo Anthony (Knicks) & Dwight Howard (Magic)


West – Kobe Bryant (Lakers), Chris Paul (Clippers), Kevin Durant (Thunder), Blake Griffin (Clippers) & Andrew Bynum (Lakers)
 
Vp Hasheem Thabit yumo?
arifu hayupo....hata kwenye timu yake Rockets hana nafasi kikosi cha kwanza na hata benchi...how come ataweza kuwemo all stars...yule nae bana....
 
Dah all star ya 2012 naona itakuwa kama ya mwaka jana naona starter kama wale wale
 
Still bado West watashinda sababu wana play Basic basketball sio maonyesho kama Allstar ya East watafanya maonyesho sababu ni All Star game! East wakiwa kwenye mood Nzuri ya ku shoot durant,Kobe na Mjerumani 3 sioni East ku win. Ma Dunk ata Win Jordan wa Clippers GRifin mwaka jana alipendelewa Ibaka alitakiwa kushinda, Kuhusu Hasheem Thabeet mpeni muda NBA kawahi sana bado anayo muda wa kufanya vizuri.
 

Shaquille O'Neal, Kenny Smith and Charles Barkley gather before the BBVA Rising Stars Challenge tipped off.

Evan Turner (16 points) throws down the reverse jam.


John Wall scored 17 points in Team Chuck's 146-133 victory over Team Shaq.....

Gordon Hayward scored 14 points and recorded two blocks for Team Chuck
 


BG takes a flight kama kawa....

Mr MVP Kyrie Irving (34 points)
 


dogo ana chance kubwa ya kuwa MVP
 
Jamaa nawakubali!!Hashim ni urefu tu kiwango kilishuka kwa sababu ya sifa!!
 
still white man cant dunk baby......slum dunk compt now
 
this kid is goin to kill....ni giza oookaaaay
 
giza na 360 windmil the indiana pacers kid killed it...ni slum dunk inaendelea now....
 
kwa maoni yangu dunk contents ya mwaka huu hamna jipya...zaidi ya huyu dogo ka dunk giza 360 windmil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…