2013/14 bajeti:bilioni 2,692.6(2.7 trillions) kughalimiwa na fedha za nje/wahisani

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
131.Mheshimiwa Spika, kwa mwaka 2013/14 jumla ya shilingi bilioni 5,674 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, ambapo kiasi cha shilingi bilioni 2,982 kitagharamiwa kwa fedha za ndani.
Kati ya kiasi hicho, shilingi bilioni 552.3 zinatokana na mkopo kutoka vyanzo vya ndani, shilingi bilioni 1,156.4 ni mikopo ya masharti ya kibiashara, shilingi bilioni 386.2 ni mikopo ya kibajeti, na shilingi bilioni 887.1 zitatokana


na asilimia 8 ya mapato ya kawaida. Kiasi cha shilingi bilioni 2,692.6 kitagharamiwa kwa

fedha za nje, misaada na mikopo ya miradi ya maendeleo ikijumuisha Mifuko ya Pamoja ya Kisekta.
MY TAKE
Donors wasipotoa izo fedha ni wazi kuna miradi ya maendeleo itakwama,with time we need to stand on our own.
Kwa resources tulizo nazo kukusanya 2.7 trilions ilo lawezekana lets harness our resources effectively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…