Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,240
120.Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho katika Sheria ya
Usalama Barabarani, SURA, 168 ili kuongeza viwango vya Ada ya mwaka ya leseni za
Magari (Annual Motor vehicle Licence Fee) kama ifuatavyo:
(i)Gari lenye ujazo wa Injini 501.cc 1500.cc kutoka kiwango cha
sasa cha shilingi 100,000 hadi shilingi 150,000;
(ii)Gari lenye ujazo wa Injini 1501.cc 2500.cc kutoka kiwango cha
sasa cha shilingi 150,000 hadi shilingi 200,000;
(iii)Gari lenye ujazo wa Injini zaidi ya 2501.cc kutoka kiwango cha sasa cha shilingi 200,000 hadi shilingi 250,000.
(iv)Magari yenye ujazo wa Injini chini ya 501cc hayatatozw a Ada ya
leseni za magari.Hatua hii itatekelezwa kupitia tangazo litakalochapishwa kwenye Gazeti la Serikali.
Hatua hizi kwa pamoja zinatarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 19,710.90