2013/2014 list c-k loan applicants to correct necessary information in their loan applications

Dasigwa

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Wana JF naombeni msaada ntawezaje kupata list C hadi K kwa LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR LOAN APPLICATIONS kwa sababu kila nikifungua web ya HELSB napata list yenye herufi A-B na L-Z.
 
Hata mimi majina ya hizo hapo C hadi K sikuyaona, labda hayapo, walikuwa makini katika kujaza fomu zao.
 
Wana JF naombeni msaada ntawezaje kupata list C hadi K kwa LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR LOAN APPLICATIONS kwa sababu kila nikifungua web ya HELSB napata list yenye herufi A-B na L-Z.
mim mbona wakat naangalia yalikuwepo yote A-Z may be siku hzi mbil sijaangalia
 
Wana JF naombeni msaada ntawezaje kupata list C hadi K kwa LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR LOAN APPLICATIONS kwa sababu kila nikifungua web ya HELSB napata list yenye herufi A-B na L-Z.
ukiona hivyo nyie hamna tatizo ndio maana hayapo mkuu relax tu..
 
Wana JF naombeni msaada ntawezaje kupata list C hadi K kwa LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR LOAN APPLICATIONS kwa sababu kila nikifungua web ya HELSB napata list yenye herufi A-B na L-Z.

mkuu unavyosema ni kweli! Ila kama unataka kupata complete list, google hicho ulichoandika kwa heruf kubwa, then utapata site tofaut tofauti, chagua ile ya wavuti, ndio yenye majina yote,
 
Yapo yote A-Z,cha msing nenda kwenye More and new events watakuletea list1,pemben kushoto kuna kibox ukikclick yanajiachia mengine..au chora jina lako utazamiwe!
 
Asante wakuu, nimeyapata na habari njema ni kuwa majina niliyokuwa nayatafuta hayapo kwenye list.
 
Am no of your age dogo. Mi nimeshamalizana na elimu hzo kitambo. Napiga biashara tu saa hizi. Acha kujivika uganga wa kienyeji. Issue si nani au nani, kama jina lipo we sema.
eeehhh te te te tunawaonea sana wadogo zetu...hivi ukisema ni ww utakuwa umepungukiwa na nini
 
Helsb wanasema cja apdate mkopo wakati na hard copy ninayo hv wako serious kweli?
 
Back
Top Bottom