2013 form six Private candates.

2013 form six Private candates.

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wanajamvi! Nimesikia ya kuwa majina ya pc waliofutiwa usajili wao wa kufanya mtihani feb 2013 kwa sababu mbalimbali yameshatoka. But unlucky hakuna tangazo necta wala moe. Je hz taarifa zna ukweli?
 
private candates ndio akina nani hao mkuu!?? Heading yako imentatiza kidogo realness
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom