2013 Mastaa walioonyesha tupu zao live walipokuwa waki-shoot Video...!

akili zao azipo sawa huwa wakula unga haw.... kosa adamu kabisa.... lakini wakikaa uchi hivyo wanauza hasa kwa jinsia ya kiume soko linakuwa kubwa sana
 
Miley Cirus anakoelekea siko. Asije ishia kama Amy Winehouse.
Lady Gaga ni mwehu, siwezi mshangaa.
 
Miley Cirus anakoelekea siko. Asije ishia kama Amy Winehouse.
Lady Gaga ni mwehu, siwezi mshangaa.
Huyo Miley Cyrus nilikuwa namfagilia sana kipindi cha nyuma lakini siku hizi ananichefua maana siyo mfano mzuri kwa mabinti zetu wanaofuatilia habari za mastaa wa ughaibuni...
 
akili zao azipo sawa huwa wakula unga haw.... kosa adamu kabisa.... lakini wakikaa uchi hivyo wanauza hasa kwa jinsia ya kiume soko linakuwa kubwa sana
Kwa mmtoni ustaa maana yake ni kubwia unga............
 
Haka ka miley kanavuta bangi siku hizi eeh? Tena kamemix majani na mbegu zake
 
Hivi pink bado yupo?

Rehana nishazoea kumuona kiuchiuchi mara kwenye video, mara visiwani kwao bado insta, keshadata huyo
 
Miley anajua sana....album yake imeshiba nondo za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…