2014/2015 Scholarship for Masters and PhD studies at Alexandria University, Egypt

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,539
Reaction score
3,551
iv mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne akiitaji scholarship inakuwaje?.
yaani namaanisha ataendelea kusoma kidato cha tano au atapelekwa kusoma college moja kwa moja? naomba ushauri juu ya hilo ndugu.
 
Mkuu, kwa mfumo wa elimu ya Tanzania, ukitaka scholarship lazima uwe umesoma na kumaliza kwa ufaulu mzuri kidato cha sita. Kama siyo hivyo basi ulimaza kidato cha nne ukasoma certificate pamoja na diploma hivyo baada ya hapo unakuwa na sifa ya kujiunga na degree ya kwanza (B.Sc au BA)! Kumbuka kupata scholarship ni mpaka ukidhi masharti ya mtoa scholarship ikiwamo na kiwangi cha elimu!
iv mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne akiitaji scholarship inakuwaje?.
yaani namaanisha ataendelea kusoma kidato cha tano au atapelekwa kusoma college moja kwa moja? naomba ushauri juu ya hilo ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…