2015 - 2025 : Kipindi cha mpito chenye funzo na msoto wa kila namna

2015 - 2025 : Kipindi cha mpito chenye funzo na msoto wa kila namna

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Si mtoto, kijana, si mzee...wote tupo kwenye kipindi cha mpito (transition period), kipindi chenye kila aina ya msoto, funzo na shida za kila aina.

Watu wote kwa kada zote wanalalamika ugumu wa maisha, pesa hakuna, biashara haziendi, familia haziendi na ada za watoto shule zinasumbua mno mpaka watu wamefikia hatua ya kufanya " negotiation " na wenye shule

Tuna miaka 5.5 mbele ya kuendelea kuvumilia.

One day yes!

Tujipe moyo

Wasalaam wanabodi.

IMG_20200114_073321.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana Wengi wanaotumia na kuamini huu msemo wa 'one day yes' wanatabia ya kutumia muda mwingi kwenye kubet...... ni kama fisi anayesubiri siku moja mkono utadondoka wenyewe..!
 
Hawa wa 'one day yes' kwenye awamu hii ya hapa kazi tu lazima watapata tabu sana
 
Usijali mkuu hata kipindi cha Farao walikuwa na miaka 7 ya shibe na miaka 7 ya njaa.
 
Ndiyo maana kila siku huwa nasema kuwa wadanganyika akili hawana! Aliekudanganya kuwa mwisho ni 2025 ni nani?!Unafahamu kuwa mfalme wa puertorico ana mpango wa kutawala hadi afe?
 
Hivi punde,
Hivi ni kweli bado 5.5 or bado4/5 or 0.8 period? Si maamuzi tunayo sisi if decision is ours?????????????
 
Kipindi cha mpito (transition period).[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom