Si mtoto, kijana, si mzee...wote tupo kwenye kipindi cha mpito (transition period), kipindi chenye kila aina ya msoto, funzo na shida za kila aina.
Watu wote kwa kada zote wanalalamika ugumu wa maisha, pesa hakuna, biashara haziendi, familia haziendi na ada za watoto shule zinasumbua mno mpaka watu wamefikia hatua ya kufanya " negotiation " na wenye shule
Vijana Wengi wanaotumia na kuamini huu msemo wa 'one day yes' wanatabia ya kutumia muda mwingi kwenye kubet...... ni kama fisi anayesubiri siku moja mkono utadondoka wenyewe..!
Ndiyo maana kila siku huwa nasema kuwa wadanganyika akili hawana! Aliekudanganya kuwa mwisho ni 2025 ni nani?!Unafahamu kuwa mfalme wa puertorico ana mpango wa kutawala hadi afe?