Asalam Aleykum ndugu zangu wa JF.
CCM ni chama imara na chenye "Intelijensia" bora kabisa duniani. Ndiyo maana pamoja na changamoto ambazo zimekuwa zinatokea ndani na nje ya chama, bado ni moja kati ya vyama vikongwe zaidi Afrika na duniani kwa ujumla ambacho kimeendelea kushikilia dola (au kubaki madarakani).
Kati ya vitu ambavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) huwa kinawekeza, ni pamoja na kufanya "Research" ya yupi anakubalika zaidi kwa wananchi kati ya viongozi wake.
Na cha kufurahisha zaidi ni kuwa M/Kiti (ukiondolea mbali Mwl. JKN), huwa hana ubavu wa kupingana na maamuzi na maamuzi ya chama endapo jambo lenyewe liko kwa ajili ya maslahi ya nchi, wananchi na chama kwa ujumla.
Kwa upepo ambao nimekuwa naushuhudia kwa PCM, ni wazi kabisa kama hakutakuwa na changamoto za hapa na pale, basi 2025 chama kinaweza kumteua ili aipeperushe bendera ya CCM.
Wananch wengi wanavutiwa sana na watu aina ya PCM.
Na kwa wasio jua, PCM ni JPM ALIYECHANGAMKA!
Hii ina maana kwamba, endapo PCM atafanikiwa kuwa Rais wa Tanzania, basi tushuhudie makubwa maradufu ya yale tuliyoshuhudia wakati wa mwamba JPM.
Haya ni maoni ya Mzee Mzalendo kwa Taifa lake na ambaye ameona mengi kwa nchi hii.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki PCM,
AMIN.