Elections 2010 2015 mbali, lazima kieleweka sasa!

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
CCM mnatuambia nini kuhusu hili?

@ Slaa, the country is behind you, tusikubali kunyang'anywa haki yetu, JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED!





 

Attachments

  • chadema.JPG
    74.5 KB · Views: 102
  • ccm1.JPG
    112.8 KB · Views: 91
  • ccm2.JPG
    80.1 KB · Views: 87
Outdated fake news ...hii habari imepitwa na wakati na ilikuwa ya uongo.

Take care of your sources, kuna habari nyingine ni za uchochezi.
 
Sure, Mungu siku zote husimama na wenye haki
 
JAMANI KWA WALE WOTE MLIO NA EVIDENCE ZA KUTOSHA ENDELEENI KUTOA KWA KADIRI MUWEZAVYO ILI WATU WAELEWE KINACHOENDELEA PALE TUME YA UCHAGUZI. kwanini nchi jirani waliweza sisi tushindwe. Dr.slaa toa tamko la pili haraka ikiwezekana hata kuzuia zoezi la kutangazwa kwa rais.
 
Hizo documents zote ni feki , msiwadanganye watanzania , mmeshindwa mwaanza visingizio vingiiiiiiiiiiiii, acheni walio shinda wapewe ridhaa ya kuongoza na mjipange kwa 2015, hatutaki vurugu nchi hii
 
Outdated fake news ...hii habari imepitwa na wakati na ilikuwa ya uongo.

Take care of your sources, kuna habari nyingine ni za uchochezi.

niliisikia hii muda mrefu, lakini nimeileta tena ili tujiulize kama ilikua story fake au vipi, maswali ya kujiuliza

1. Je ni kweli matokeo yanachelewa kutangazwa? kama ndio kwa nini
2. Je Kulikua na sitofahamu nyingi katika majina yaliyobandikwa? kama ndio kwa nini?
3.Je kulikua na kituo chochote 'kanyaboya'?
 
CCM mnatuambia nini kuhusu hili?

@ Slaa, the country is behind you, tusikubali kunyang'anywa haki yetu, JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED!






Mibarua feki hii mantuletea mbona mnapenda kulalamika kuweni kama maalim Seif mbona amekomaa mwenzenu? Wewe huwezi kuta eti mtu anatumia. Hiyo ni kazi ya Adobe kaka usidange watu. HATUDANGANYIKI
 
Haki ya watanzania inacheleweshwa tu lakini Mungu atatoa kulingana na wakati wake
 
Haki ya watanzania inacheleweshwa tu lakini Mungu atatoa kulingana na wakati wake

Haki ipi wakati wamemchagua mtu wamtakae, JK. Kwani nyie ndio wenye haki ya kushinda tu, mkishindwa mwalalamika hivy?. Mungu ni wa wote sio wa kwenu peke yenu, kuweni makini na kauli zenu acheni ushabiki mandazi nyie. Sombofirogwe sikuhagile !
 
Mnajifariji kwa maneno matamu enyi wana sisi m. Tukiwasha moto wote mtakimbia ovyo. Bora mkae kimya. tunahitaji haki. Lakini mkijifanya mnatugawia haki siku si nyingi tutalaumiana. Msiendeleze machungu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…