Leo na kesho ni siku ya mwisho ya kufunga usajili, kuna klabu bado zinapigana vikumbo kuwania sahihi za wachezaji.
Je Man Utd watasajili Striker mpya?
Arsenal watampata Cavani?
Pogba na John Stones wataatasajiliwa Chelsea?
Je De Gea atabaki Man Utd?
Karibuni tufatilie nini kitajiri kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili Ulaya.