timu za America kulikoni? Naona waa waa Ulaya.... BAK naomba uendelee staki kumiss yale maneno saa 9.
......FT England 2- 1 Columbia
Mexico 0 - 5 France
Fainali ya kombe la dunia wanawake ndio imeanza dakika 2 zilizopita kati ya USA na Japan tayari USA wanaongoza kwa goli moja lililofungwa dakika ya pili. Uwanja umeshona ile mbaya. Kwenye fainali ya kombe hili 2011 timu hizi zilikutana kwenye fainali na Japan ilishinda 1-0. USA wamepata goli la pili dakika ya tano USA 2 Japan 0