2015 Women's World Cup Canada

Japan wameweza kucheza kwa dakika 10 bila kufungwa goli, 4-1 dakika ya 27
 
Afadhali Japan wameanza kuamka. 4 goals in just minutes? Khaaaa!
 
Timu zote zinacheza kwa ari kubwa sana, USA wakijaribu kuongeza magoli na Japan kupunguza gap ya magoli.
 
Japan washachapwa goli 4 hadi sasa...

Wao wana goli 1 na sasa ni kipindi cha pili dk 47
 
65th minute 5-2 USA, ila hawa wacheza wanapiga kelele sana uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…