Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Umesahau bendera bana:lol:
Nimeshangaa sana kuwa hakuna thread inayojadili jambo hili hapa JF, ila wasichana wanaowakilisha nchi zao katika kundi D wanajitahidi sana. Sasa hivi naona USA na Sweden wanatoana jasho ile mbaya. Huwa nashindwa kuelewa iwapo sheria zitapindwa kidogo halafu wasichana hawa wakapambanishwa na Taifa Stars yetu mambo yatakuwaje.