BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ntakuwa kongo asee
Possibiluty ya messi kuchukua ballon d or ni sawa na possibility ya giza kuwepo mchana.
Sasa hapo unatafuta debate isiyo isha na mimi.πππ au brazzaville! Nawaambia mchawi anastahili hiyo tuzo...mchawi kaipeleka tim yake hadi final, uliona alivyowafanya city? Valencia pia uliona? Utamu wa messi haupungui aise.... Ebu niambie kwa portugal nani aliyeipeleka final? Ni nani aliyeipatia ubingwa? Alaf mnasema ni haki yake? Kwa lipi?, Griezmann is better than cr7....All PlayerZ in the world+Coaches=Messi