2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Si umeona goli la kupewa Mkono and then faulo kanyanyua mguu usoni mwa beki
Hakuna mkono pale wala faulo, mbona limerudiwa mara nyingi hajaonesha kuunawa na mguu uliiwahi kichwa cha yule beki wa egypt? Ile movement ilikuwa sawa kabisa!
 
Refarii wa kitanzania aliyekuwepo ktk michuano ile ni nani vile? Nadhani utakuwa ni wewe sivyo? Hongera kwa kuchezesha michuano mikubwa.
 
mwisho wa siku mbuzi umekua wewe na warabu wenzio,teh teh teh that z futiboli....
Kabla ya mafuta, waarabu walituzidi ktk hilo tu. Now, mafuta hadi Uganda, Angola, Nigeria, na humu mwetu tunayatafuta, watafute cha kujishikiria. Soon, itakuwa ndo race ya chini kupindukia duniani.
 
Refarii wa kitanzania aliyekuwepo ktk michuano ile ni nani vile? Nadhani utakuwa ni wewe sivyo? Hongera kwa kuchezesha michuano mikubwa.
Katizame Marudio acha ushabiki Maandazi
 
You made my day. Racism begins with us!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…