2017 Mwaka wa watu wasiojulikana

2017 Mwaka wa watu wasiojulikana

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Asalaam Alleykum:

Mwaka 2017 ulikuwa na mbwembwe nyingi sana.

Moja wapo ya mbwembwe hizo ni zile za watu wasiojulikana ambao walipiga vita za madawa ya kulevya wakashindwa, wakavamia Clouds na kutisha watu, wakamiminia Tundu Lissu risasi na mambo mengi ambayo yalilitia doa nchi yetu kama vile kuwatisha wapinzani, kuwanunua wapinzani n.k.

Kama una karama ya unabii, tabiri 2018 utakuwa mwaka wa namna gani:

Mimi natoa utabiri, kulingana na mpangilio wa nyakati, 2018 kibao kitawageuka na karma itafanya kazi. Tutaona sana watu wakianguka kwenye majukwaa na kupoteza maisha.
 
Vyombo vya dola vinashughulikia matukio ya Lissu na wenzake,tukiviharakisha vitashindwa kufanyakazi kwa weledi.
 
mwaka 2017 ulikua mwaka watu kuama vyama sana........bila kupenda toka moyoni......money did

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Serikali iliyojijenga kwa misingi ya uovu anguko lake li dhahiri sasa.
[HASHTAG]#MagufuliAtubu[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom