Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unataka kusema nini mkuu?Furaha ina maana gani kwa mujibu wa ripoti hiyo?
Namna ya upimaji wa furaha.Unataka kusema nini mkuu?
Kupima furaha ni rahisi sana mkuu.Nchi ambayo wananchi wake hawana chakula,hawana nyumba za kuishi,hawana nguo za kuvaa,hawana huduma za maji,afya,elimu,barabara,haki za binadamu haziheshimiwi na unaweza kuuawa muda wowote ule kama Kuku kama ilivyo Rwanda na kadhalika hawawezi kuwa na furaha.Namna ya upimaji wa furaha.
Rwanda under Paul Kagame maisha ya binadamu huwa yapo rehani kama ya Kuku.Kuuawa ni suala la sekunde.Tofauti kati ya Rwanda na Afghanistan ni ndogo sana.Duh hadi rwanda kwenye list?
Sina furaha kabisa na hapa nilipo depression inatishia kuniletea magonjwa ya kisukari,presha pamoja na magonjwa ya moyo.Tuanze na wewe, je huna furaha?
Waandaaji WA hizi wengi Wana agenda zaoNchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kuwa na furaha duniani kwa mwaka 2021π
View attachment 1860885
Nchi zilizopo kumi bora kwa kukosa furaha duniani kwa mwaka 2021π
View attachment 1860884
Sources:Happiness, trust, and deaths under COVID-19
Sasa unataka kulazimisha kuwa nchi kama hii ina furaha?Waandaaji WA hizi wengi Wana agenda zao
Lakini pia if you take wafuasi wa chama Fulani as indicators (because ndio majority wa online Republic ) lazima tuonekane hovyo because wao wanalalamikia kila kitu
Bado kuomba biblia na misahafu mipya Tu na kutaka mungu abadilishwe