2018 Oscars full winners list: 'The Shape of Water' and Guillermo del Toro win top honors

Mimi naona hizi tuzo za Oscar toka nianze kuzifuatilia zinaangalia zaidi uwezo binafsi wa mtu na jinsi alivovaa uhusika zaidi katika filamu fulani...ukiangalia hizi tuzo mara nyingi ndomana hazihusishi au hazinominate filamu za kupigana maana zile ni more acting than reality,kuna uartificial mwingi...
 
movie za mwaka jana hata hazikuwa kali.
 
asante sana, naanza kupata idea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…