2019 Africa Cup of Nations Special Thread

wa Zimbabwe wazuri wametuzidi sana kiukweli, wamefungwa lakini wamepambana na wanacheza vizuri wana speed na hatari mbele hasa upande wa kushoto. nilikuwa nadhani ndio level zetu lakini baada ya kuwaona turudi labda kwa Namibia na Mauritania
Ule mpira waliocheza Egypt ukiweka na home advantage waliyonayo ingekuwa Taifa Stars wangebugizwa sio chini ya 5...

Mimi pia nilifikiri Uchumi wa Zimbabwe unafanana na timu yao manake kabla waligoma kwenda Egypt sababu ya Posho.
 
Binafsi kufuzu tu taifa stars inatosha, kutakacho tokea afukoni ni additional tu.Kwa matokeo yoyote sitaona ajabu ila nitakuwa sapuraizidi Kama tutavuka na kuingia neksti steji
 
Masahihisho:

Makundi ni 6, yenye timu 4 kila mmoja.

Kila la kheri Taifa Stars.

Huu ndio mkeka wangu kwa timu zitazojongea hatua ya mtoano.View attachment 1130454
Hongera... Ila huu ni utabiri mwepesi asilimia 80 ya wabashiri watabashiri hvyo....

Tuwekee timu 4 zitazofika hatua ya mwisho na mbili zenye uhakika wa kubeba kombe.

Binafsi kombe litabebwa na
senegal au south africa.
 
Nikiona mechi ya ufunguzi kwa kila timu ni rahisi kubashiri namna hiyo.

Mpira hauna uelekeo maalum kama upepo, unaweza kugeuka muda wowote kuelekea upande wowote.
 
Nikiona mechi ya ufunguzi kwa kila timu ni rahisi kubashiri namna hiyo.

Mpira hauna uelekeo maalum kama upepo, unaweza kugeuka muda wowote kuelekea upande wowote.
Sasa hizo ulizozitabiri awali... Mechi zao za ufunguzi uliziona wapi mkuuu zais ya misri na zimbabwe.?????
 
Sasa hizo ulizozitabiri awali... Mechi zao za ufunguzi uliziona wapi mkuuu zais ya misri na zimbabwe.?????
Hapo nilitabiri siku uzi huu ulipoanzishwa, kupatia ni probability.

Baada ya ufunguzi wa kila timu nitaweka zitakazoweza kufika robo fainali.

Kipindi cha Kombe la Dunia mwaka jana, nilitabiri timu zitakazofika robo fainali hadi fainali, nililose chache sana.
 
Pamoja na kufungwa 1-0,Zimbabwe wako mbali sana.Hawaogopi kushambulia kama Stars.Wana mashambulizi ya kupanga
wa Zimbabwe wazuri wametuzidi sana kiukweli, wamefungwa lakini wamepambana na wanacheza vizuri wana speed na hatari mbele hasa upande wa kushoto. nilikuwa nadhani ndio level zetu lakini baada ya kuwaona turudi labda kwa Namibia na Mauritania
 
Stars matumaini yapo ya kutosha! Kila laheri Star's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…