Bahati yao, ngoja tuone kama watailinda hii bahatiWakienda kwenye penalties Senegal out.
Wasenegalies hawana confidence kabisa ya kupiga penalty
Yanga tuna mpango wa kumsajiliUyu Sabaly beki 3 ana uwezo wa kutumia miguu yote (left & right) kwa ufanisi wa hali ya juu
Mkuuu VAR imeokoaHaya Tunisia wanaenda fainali. Anayebisha jifanye unajikuna
We ni me au ke ?Asante Mungu.No Penaltttttttt
Dumejike. Meke.We ni me au ke ?
Nipo najikuna hapaHaya Tunisia wanaenda fainali. Anayebisha jifanye unajikuna
Acha zakoSenegal bye bye.Leo balaa tupu.Tenis ilikuwa balaa,football napo yale yale.