Mkuu mkeka wako wa mwisho... Final..Nakagua mkeka wangu
Okayy...Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.
Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.
1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.
View attachment 1153845
Sisi wenye Zuku Rwanda TV wako live .KBC wapo Live. Kwa wale wenye vingamuzi vya Azam....
Gioi la ajabu sanaWhaatttt th ff..
A goalll!???
Haha...ushapigwa mkuuHT. 0:0
Yani hatA sijakaa kuanza tizAMa game.....Gioi la ajabu sana
Yani hatA sijakaa kuanza tizAMa game.....
Maajabu
AchA ujinga basi... Ccm akili zenu za kipuuzi sanaHuyu kipa wa senegal bora ya karius
Yaani jinga kabisa hili
UshafeliHT. 0:0
Jipe Moyo...Mi ndo natoka kuoga navaa nikaangalie hapa jirani hata sina hamu tena ngoja nilale tuu nitasikilizia redioni