Ndiyo mkuuUsername yako ina uhusiano na ushamba?
Hongera, subiri uteuzi uwe mkuu wa mashoga.Ndiyo mkuu
Serikali haina..........Duh ingefaa tbc watuoneshe mpira
Kikosi cha Stars kitakachoanza dhidi ya Senegal 23/Juni/2019.
A.Manula
G.M.Kamagi(Gadiel)
K Yondan
A.Morris
R.Kessy
Feisal Salum
H.M.Mkami
S.Msuva
John Bocco
M.Samata
Farid Musa
Chanzo:Livescore.com
Saa mbili usiku. Leo nakula dinner yangu saa moja. Ili saa mbili niwe nishadigest vizuri. Hii mechi inaweza kukufanya utapike.Mpira saa ngapi?
Huyu Lukaku(11) wa tanzania anafanya nini hapo??1. Manula
2. Kessy
3. Gadiel
4. Nyoni
5. Yondani
6. Mao
7. Msuva
8. Mdathri
9. Bocco
10. Mbwana (C)
11. Ulimwengu
SUB: Tinoko, Zimbwe, Fei toto, Zayd, Farid, Mwantika, Domayo
Hakuna kitu kama hicho Vijana wako safi kabisa kisaikolojia na kimpira.Nikupe utabiri wa matokeo yetu ya leo?
Tupo pamoja wazalendo wenzangu matumaini kama yote! Kila laheri Star'sMungu ibariki Tanzania
Nataka kukupa mualikoSaa mbili usiku. Leo nakula dinner yangu saa moja. Ili saa mbili niwe nishadigest vizuri. Hii mechi inaweza kukufanya utapike.
Tupo mkuu, hata kama sadio mane hachezi mtapigwa mpaka mchakaeee!Duh kazi ipo...... Kumbe kuna Wasenegal wengi hapa JF