CCM leo wanapigwa 5-0
Timu SENEGAL tujuane Mapema sanaaaa
Mpaka hapa umeshachana mkeka, tandika upya.Masahihisho:
Makundi ni 6, yenye timu 4 kila mmoja.
Kila la kheri Taifa Stars.
Huu ndio mkeka wangu kwa timu zitazojongea hatua ya mtoano.View attachment 1130454
Taifa stars win or draw. Kila la heri timu yangu ya taifa
Tupo pamoja wazalendo wenzangu matumaini kama yote! Kila laheri Star's
Samahani mkuu UBC ipo star times?Wazalendo wa Uganda wametuokoa..
UBC is a free channel..
Wacha si tuendelee kujenga NCHI.
I don't think so!Samahani mkuu UBC ipo star times?
Azam Tv wanarusha mkuuMwenye link ya kustream online aweke hapa tuendeleze uzalendo tukitafuta bar nzuri.