Saa mbili usiku!Match saa ngapi?
We weka link mkuu sio watanzania wote wana azamAzam Tv wanarusha mkuu
Bavicha fc hawana uzalendo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mnavyoombea Star ifungwe.
Duuh!
MUNGU IBARIKI SENEGAL......Amen hili genge la CCM lazima life.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mnavyoombea Star ifungwe.
Duuh!
Njoo uishangilie timu yako ya Taifa. Nguvu tunazo na uwezo tunao
We weka link mkuu sio watanzania wote wana azam
Nipo ndugu kwa dj apaMbona sikuoni
Ushindi Muhimu Sana Leo
Naamini K Vant Ladha Ya Limao Itatelemka Kooni Vizuri Sana [emoji16]
Pamoja kiongoziNajongea hapo nipo hapa tanesco flomi
Hahahahahahaah.MUNGU IBARIKI SENEGAL......Amen hili genge la CCM lazima life.