2019 Africa Cup of Nations Special Thread

TZ wanakuambia changia Taifa stars ishinde. Pesa tunachanga lakini mpira tuuangalia kwa channel za Kenya. Uganda. Dubai na South Africa. Si Bora tuchangie harambe stars au bafana bafana.
Subiri kwanza....
 
Waache dharau, hiyo Stars imshinde nani..!! Wameona Yanga imepiga hela nao wameanza kuombaomba, zetu mechi 3 tu.... ratiba inaisha.
 
TutashindA... Fedha tunayo... TUKO PAZUURI.!
 
TZ wanakuambia changia Taifa stars ishinde. Pesa tunachanga lakini mpira tuuangalia kwa channel za Kenya. Uganda. Dubai na South Africa. Si Bora tuchangie harambe stars au bafana bafana.
good brain
 
azam tv ni makenge kwa tulonunua dish zao nje na tanzania hicho ki utv hakioneshi sijui wanadhani kila mtu anapenda hayo movie yao wanayotafsiri kwa kiswahili??
shwain
Hiyo habari ya movie zilizotafsiriwa usije ukaiongea mbele ya wanawake wa kiswahili. Ukiwanyima hizo asubihi kama hii ukiomba mzigo utaambiwa....kichwa au tumbo linaniuma
 
Wazalendo wa Uganda wametuokoa..

UBC is a free channel..

Wacha si tuendelee kujenga NCHI.
UTV itakuwa live from Azam TV pia hiyo UBC ipo kwenye Azam TV itakuwa ni chaguo la mtazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…