2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Nenda makao makuu wakubadilishie kadi mpya, watakusajilia kwa 20,000 tu
azam tv ni makenge kwa tulonunua dish zao nje na tanzania hicho ki utv hakioneshi sijui wanadhani kila mtu anapenda hayo movie yao wanayotafsiri kwa kiswahili??
shwain
 
Pamoja na madhaifu mengiiii ya TBC ...hili la Timu ya Taifa kushiriki mashindano haya makubwa kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 40 ni tukio kubwa sana amabalo lingepewa heshima !
Hii ni fursa kibiashara,kisiasa na kijamii...ni maajabu kuwa TBC(Serikali!) wameshindwa kuitumia! Any way ngoja tuendelee kujengewa uzalendo kwaya za kuisifu awamu ya Tano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…