2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Benin wanawachezea sharubu Ghana maneno ya unabii wa mchungaji wa nchini kwao yanaenda kutimia.

Asamoah Gyan akienda na timu AFCON ni gundu tupu na haitofika kokote
 
Tuendelee kuwa na imani, alhamisi tushinde dhidi ya Kenya
Kiongozi Tanzania haiwezi kushinda hiyo mechi hata wakienda kuroga wapi.

Kenya wana wachezaji wazuri sana kutuzidi, wana ari ya kupambana nilitizama mahojiano yao baada ya mechi yao na Algeria aisee wamekamia mechi ijayo nilitabiri ndio timu itakayotufunga magoli mengi kwa sababu tunaichukulia poa hivyo tutacheza kipoa poa nao watatupooza kweli
 


Umesema Tanzania haiwezi kushinda hiyo mechi hata tukiroga wapi?..... ina maana hujasikia kuna watu wameenda leo kuongeza hamasa kwenye kambi?

Kama wakenya wamepania hiyo mechi, si nasisi tupanie basi kama wao

Kuhusu Kenya kuwa na wachezaji wazuri wenye ari ya kupambana, kwa maoni yangu ni kuwa viwango vyao na vyetu havijapishana sana labda utofauti unakuja kwenye kuwa na ari ya kupambana

Tuendelee kuwa na imani na Taifa Stars yetu
 
Taifa stars imeenda kukutana na ma_stars sasa chamoto ni hawataokota point hata moja.

Mimi ni supporter wa Uganda kwa sababu sio politics soccer team
 
mtaalam ujalala tu hi ulisema utaiangalia ndotoni..i kept your words [emoji23][emoji23]
Hiyo nimeiangalia live mkuu, Cameroon japo wameshinda ila hawakuwa Cameroon ninaowajua.

Ndio maana nilipata ukakasi wa kuamini kama ile ni Cameroon.

Ghana nilitarajia kuishuhudia ndotoni, lakini ndoto zilivyo za ajabu nikaota kitu kingine kabia ambacho sikukitarajia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hatare sana
 
Chonde chonde kesho fei Toto aanzie bench na ile sub yake ianze kipindi cha kwanza
 
Benin nao wako juu nini....au Ghana haikuwa kama Ghana ya siku zote..?
Historia inawabeba sana Benin wanapokutana na Ghana, alafu Ghana mpira wake umekwisha si timu ya kutisha Kenya ilimsumbua sana wakati wa kufuzu.

Kuna Mchungaji alitabiri kuwa asamoah gyan akiitwa timu ya taifa basi watatoka mapema naona ndiko wanakoelekea kwa mpira ule wakikutana na Algeria wanapigwa nyingi
 
Ngoja tusubiri...
 
Ghanaian prophet says Ghana will not win AFCON this year
Prophet Emmanuel Badu Kobi of Glorious Wave International Church, has said that the Black Stars cannot win the Africa Cup of Nations this year.
According to him, Ghana’s 37-year trophy drought is not coming to an end in the continent’s most prestigious football competition.
The Black Stars have struggled over the years to break the jinx since they last won the competition in 1982 but the Prophet who was speaking at the end of year service at his church on Monday night urged Ghanaians not to hope for a change in the situation.
“The Black Stars would not win the Africa Cup of Nations this year” he stated adding that even the effort by the Normalisation Committee to restore football in the country may not yield any positive outcome.
“Last year I said on a TV interview that Ghana football would go down and I advised Kwesi Nyantakyi to step down but he didn’t mind me until Anas exposed him,” the preacher said and emphasised that his prophecy must not be taken lightly.
The pastor who said he had given a lot of prophecies that had come to pass also said the country may lose one of its former players who played for the Black Stars several years ago.
Although he failed to reveal the identity of the particular player who would die, the pastor hinted that he played in the era of Tony Yeboah and Abedi Pele.
 
Pastor anajitangaza mdogo mdogo..mechi zimebaki 2 tusubiri maono ya Pastor kama yatatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…