Mkuu Ni kweli ila tusiwachulie poa SenegalIli usipate heart attack shabikia hizi teams, Algeria, Morroco, Egypt au Tunisia [emoji16][emoji16][emoji16]
Utabiri wangu hapo Morroco na Mafarao wanakutana final,,,Morroco bingwa 2019
Mkuu Ni kweli ila tusiwachulie poa Senegal
Morocco hapiti round of 16 bado hajakutana na timu bora kama yeye uone atakavyofanywa.
Si unajua mpira upo west na north africa tu?
Mo salah leo anaosha Nomino ananiaibishia binadamu mmoja anayeonewa kila sehemu
Papaa ya kongo mwinyi zahera mutu mukubwaNani huyo mkuu? 🤣🤣
Papaa ya kongo mwinyi zahera mutu mukubwa
Rudia tenaShuhudieni UGANDA anachezea leo...
Oyaaaaaa! Amkeni Zahera kashalizwa na Okwi huku
Subiri...Rudia tena
Uganda 1 - 0 MugabeNgapi ngapi huko