2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Zahera fc sio promising team kabisa, kuwa shabiki wa UG raha sana.
Timu inacheza tactically, hawapaniki.

Super striker wa Zahera Baliat kabanwa movement zake hazitishi
 
Zahera fc sio promising team kabisa, kuwa shabiki wa UG raha sana.
Timu inacheza tactically, hawapaniki.
Super striker wa Zahera Baliat kabanwa movement zake hazitishi
Huyu Balliat kapoteza Confidence.. Anaogopa umbo la huyu goalkeeper wa UG.
 
Huyu Balliat kapoteza Confidence.. Anaogopa umbo la huyu goalkeeper wa UG.
Ana movement za ajabu na anapopata mipira defender mmoja wa UG anakuwa nyuma yake hana hata nafasi nzuri ya kupiga shuti.

Movement za Okwi mpaka sasa ndizo zinatisha haeleweki anarudi chini na kupanda
 
Tunaenda kupumzika Biriani hawezi kutuchezea sisi tumuache
 
Wamekabia macho tatizo, hata hivyo Billiat anamjua vizuri Onyango anacheza nae ligi moja South Africa.

Tunawapiga lingine hawa Zahera ataongea sana leo anapigwa mara mbili Okwi ameanza bado Mo salah
Mimi napenda team zote mbili. Zinaonyesha mashambulizi. Sio unaangalia mpira mashambulizi yapo eneo moja tu la kipper. Zimbambwe vs Uganda the best spectacle ever.
 
Mimi napenda team zote mbili. Zinaonyesha mashambulizi. Sio unaangalia mpira mashambulizi yapo eneo moja tu la kipper. Zimbambwe vs Uganda the best spectacle ever.
Hamia UG kama unataka raha alafu Quarter final unaweza kufikiria kubadirisha.
 
Musonna hapana jamani. Ndo kukosa gani huko. Warriors wapo fire fire leo. Wanataka kuendelea second round.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…