2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Sadio Mane aache kupiga penalties. Mbaye Niang huwa ni mzuri sana kwa kupiga matuta. Tatizo Mane alitaka afikishe magoli manne. Ubanafsi mbaya jamani.
Vitu kama hivi wewe huvijui tuachie wajuvi.
Niang ni mzuri kwenye aerial balls na si penalties
 
Morocco wamebebwa sana.
Wakichezewa foul ndogo tu refa anatoa yellow wakati wao hakuna

Hakuna cha kubebwa hapo. Aliechezesha ni ndugu yetu wa damu. Tatizo letu miafrika tunapenda sana kulalamika. Akichezesha mzungu wamebebwa, akichezesha mwarabu wamebebwa, sasa black mwenzetu kachezesha bado tunasema wamebebwa. Aise Bora ningezaliwa uhindini tu kuliko bongo matatani.
 
Morocco ushafeli[emoji3]

Benin kampiga mwarabu aisee.

Tutegemee mengi aisee

Imeniuma sana mkuu Morocco kuondolewa kizembe kabisa na kitim ambacho best looser/ kina point 3 tu 😔😔 dah Ziyech Mpumbavu sana, heri angemuachie mwingine apige sio kwa hofu aliokuwanayo.
 
Huwa unaangalia ligue 1?Ndo mpigaji penalt no 1 wa Rennes.
Nafahamu ila huwezi kumlinganisha Niang na Mané.
Niang ametokea Torino kule walimtoa kwa mkopo kwa sababu ya kiwango cha hovyo na amefunga magoli 14 tu Rennes kwenye mashindano yote.

Ligeu 1 ilivyo mrenda kuliko hata HNL y Croatia unafunga goli 14 kwenye mashindano yote hata Samatta ana afadhali.

Sadio mané kafunga goli 22 kwenye Premier league pekee tena kwenye ligi ya nguvu.
Acha ujinga wa kumfananisha Mané na Niang ukome kabisa

Niang kasaini miaka minne ya kucheza Rennes huyu si mchezaji wa daraja la Mané
 
Mane ni mchezaji mzuri. Ila hajui kupiga penalties. Mbaye Niang is more better than Mane when it comes to penalties. 2017 Alikosa penalty dhidi ya Cameroun. Ilikuwa mechi muhimu sana kwenye AFCON.Kocha anatakiwa afanye maamuzi magumu. Mane asipige penalty. Just to let you know yale magoal yake 22 alofunga na Liverpool yana zero penalty.
 
Yaani ile penalt angefika,kungekuwa hakuna muda wa nyongeza. USIOMBE KUKOSA PENALT INAYOAMUA HATIMA YENU.

Ziyech nimemchukia sana, unajuwa dada tim kubwa kubwa zina raha yake zinapokutana robo/nusu fainali. Sasa hako kapumbavu ka~Benin hakana mpira wowote wa kuvutia muda wote kamepaki basi alafu kamepita, tena kbahati bahati tu.,,,, mammae hafiki mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…