LGE2024 2019 Dr Bashiru na Polepole walitumia Nguvu lakini 2024 Dr Nchimbi na CPA Makalla wanatumia Sayansi ya Siasa, Orodha imeshawavuruga CHADEMA

LGE2024 2019 Dr Bashiru na Polepole walitumia Nguvu lakini 2024 Dr Nchimbi na CPA Makalla wanatumia Sayansi ya Siasa, Orodha imeshawavuruga CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja

Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa miwili Mitatu

Kwa sasa Sekretarieti ya CCM ina Watu wanaojua Siasa ni Sayansi na kwamba Nguvu ni Matumizi mabaya ya Ubongo

Tukutane November 27, 2024

Mlale Unono 😀😀
 
Tunakumbushana,

Time hii ukiiba au kushiriki kuiba kura kupotosha HAKI,

Malaika wako kazini, na upanga umeshatoka alani mwake,

Tusubiri 🙏
 
Back
Top Bottom