J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 20, 2024 #1 Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa miwili Mitatu Kwa sasa Sekretarieti ya CCM ina Watu wanaojua Siasa ni Sayansi na kwamba Nguvu ni Matumizi mabaya ya Ubongo Tukutane November 27, 2024 Mlale Unono ππ
Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa miwili Mitatu Kwa sasa Sekretarieti ya CCM ina Watu wanaojua Siasa ni Sayansi na kwamba Nguvu ni Matumizi mabaya ya Ubongo Tukutane November 27, 2024 Mlale Unono ππ
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Oct 20, 2024 #2 Tunakumbushana, Time hii ukiiba au kushiriki kuiba kura kupotosha HAKI, Malaika wako kazini, na upanga umeshatoka alani mwake, Tusubiri π
Tunakumbushana, Time hii ukiiba au kushiriki kuiba kura kupotosha HAKI, Malaika wako kazini, na upanga umeshatoka alani mwake, Tusubiri π