2019 forecast GDP of African countries.

Really - na hii ni nini?
Tanzania’s GDP expands by 32 pct after rebasing - officials | Reuters
Tanzania's GDP expands by 32 pct after rebasing - officials. DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's gross domestic product has expanded by 32 percent after the state rebased its calculation to incorporate new sectors in the economy, including big discoveries of natural gas, officials said on Friday

 

Mbona rebasing mumefanya juzi tu kwanza mkaruka asilimia 32% hata kuzidi Kenya, lakini bado mpo mbali sana, yaani pengo limeongezeka hadi sasa hata mkipewa Uganda iwe yenu bado hamtakua mumetufikia, pamoja na kwamba nyie tayari hapo ni muungano wa nchi mbili, Zanzibar na Tanganyika, sasa mpewe Uganda na Burundi.
 
Yes the clueless dictator is doing more damage to Tanzania than people want to admit. He has send investors scampering. He has angered donors & creditors - now they are withholding more than 1B dollars - of donor aid - and he is asking Tanzania to breed - leading to more poverty.
The population will increase rapidly considering the fact that the dictator banned the use of birth control and ordered them to proliferate because one factor of production is needed
 
Can I have the link of the IMF page u got that table! Kunyans can fabricate anything!
 
Kenya jumps up $10 billion

The Gap between EAC's largest and second largest economy keeps increasing.

Ahaaa haaa haaa
those are just figures which are unrelated to the welfare of citizens.
 

50% ya uchumi wa tz ni informal,
Wala msiendelee kuhangaika.
 
Kuna deals chache tukiweka sawa GDP itaongezeka sana hata by 35bil USD

1.LNG Plant ..Mtwara
2.Iron and Coal Mining mchcuma
3.Oil pipline
4 .Feltilizer plants in Lindi
5 Graphite exporting

GOT inachelewesha sana ku discuss hii mikitaba haswa wa LNG na iron mining

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First he is not a dictator, second he is not clueless like you, he is our best, hao wanaofukuzwa ni suckers, not investors, you think they're all investors? Jidanganye.
Third, hizi gdp zinaandikwa kwa makaratasi zisikudanganye na kukupea matumaini mob.
They can be wrong or manipulated, imf comprises of people, dont regard them economic gods.
Sasa na gsp yenu kubwa mna afadhali gani kushinda bongo?
Raisi kuruhusu watu kuzaliana, lengo ni kujaza this empty huge landmass, sq km ya Tz is huge than naija, their population is 6 times ours.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Year 2014. Never rebased since then

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By next yr our GDP will be $65B then we gon graduate from ldc .Tz pop is now at 59M and annual increse is appr 1.5-2M people

Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda ndio wanarudisha EAC nyuma. 44 million people na hio gdp yao. Btw na current growth rates za EA, By 2050 Uganda itakuwa na 102 million people and Tanzania itakuwa na 137 million ana Kenya 95.5 million .
 
Uganda ndio wanarudisha EAC nyuma. 44 million people na hio gdp yao. Btw na current growth rates za EA, By 2050 Uganda itakuwa na 102 million people and Tanzania itakuwa na 137 million ana Kenya 95.5 million .
Haha duuh ,M7 aachie vijana nchi wafanye mapinduzi yakiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya jumps up $10 billion

The Gap between EAC's largest and second largest economy keeps increasing.
Hivi IMF mnaielewaje wanapo sema....Kenya's economy will grow by 5% in 2019 halafu wanatoa data nyingine inayosema GDP will grow by 11%? ( hiyo increament ya 10b). Mnaelewa nini hasa
 
Uganda ndio wanarudisha EAC nyuma. 44 million people na hio gdp yao. Btw na current growth rates za EA, By 2050 Uganda itakuwa na 102 million people and Tanzania itakuwa na 137 million ana Kenya 95.5 million .
Heeee hii ni scary...
Kenya population isiruhusiwe ipite 75million milele.
 
You did a rebase in 2014 that increased your GDP by 32%. Stupid.
 


😅😅😅😅😅😅😅😅😅

I guess your low budget is fake too because you want to look poor. This is the most stupid thing I've heard in a while.
 
What the f*ck happened to Sudan? Sudan used to be number 7. Something is not adding up. I know it's Imf data but i can't understand that one.
Not only that,...even the Libya being behind Tanzania and Ghana doesn't bring any sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…