henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,117
Trust me, that middle income status isn’t very good thing to us, yaani kwanini ujioneshe una hela?
LDC status got more benefits to us, pengine by 2025 hivi au 2030 ndio tuwe middle income, hapo tutakuwa tumeimarika kila idara...
I can assure you our GDP in reality is more than 75$ bn
Ts better to look poor than being fake rich.
Ilipikiwa kwenye jiko la bidii, uchapakazi, ugatuzi na demokrasia ya siasa za maridhiano na sio ubabe wa peni mbili na udikteta uchwara. Shukran.Utawakuta watu wa ufipa wanakwambia rwanda imeipita tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woooooi [emoji85][emoji85][emoji86]
But wakenya hiyo gdp mlipikia jiko la kuni au mkaa[emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok ok mlivyopika haikuiva mkaenda kuipasha jiko lingine bado ikawa mbichi mkapika tena[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Ilipikiwa kwenye jiko la bidii, uchapakazi, ugatuzi na demokrasia ya siasa za maridhiano na sio ubabe wa peni mbili na udikteta uchwara. Shukran.
Labda IMF wana customer care, tafuta namba zao za simu.Ok ok mlivyopika haikuiva mkaenda kuipasha jiko lingine bado ikawa mbichi mkapika tena[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
Ila ethiopia mbona wako hoi hiyo gdp yao haiko sawa
Pia ghana nao hawasomeki kabisa inamaana EA inanafasi ya kutawala africa ikiwa nchi tatu zipi 10 bora
Sent using Jamii Forums mobile app
I would love to see on PPP termsKenya jumps up $10 billion
The Gap between EAC's largest and second largest economy keeps increasing.
I know your Gdp is bigger than that. Sijui mbona mnaonyesha dunia picha mbaya?Hio 55B dollars nimeanza kuisikia tangu 2015, saa hii tuko 2019 bado mmesimama kwa 55 B dollars. Hakuna vile mtabaki pale pale miaka nenda miaka rudi and yet you are growing at a respectable rate of 6%. Wacheni kupika vitabu. Na kama ni currency, wacheni kumanipulate currency. Mnafanya currency iwe weak ndio Gdp iwe ndogo. Wacheni poverty mentality. Tabia mbaya sana hiyo. Mnastahili kuwa at 70B dollars bila kupika vitabu.Trust me, that middle income status isn’t very good thing to us, yaani kwanini ujioneshe una hela?
LDC status got more benefits to us, pengine by 2025 hivi au 2030 ndio tuwe middle income, hapo tutakuwa tumeimarika kila idara...
I can assure you our GDP in reality is more than 75$ bn
Ts better to look poor than being fake rich.
[emoji28] tutaipika iwe 99B $I know your Gdp is bigger than that. Sijui mbona mnaonyesha dunia picha mbaya?Hio 55B dollars nimeanza kuisikia tangu 2015, saa hii tuko 2019 bado mmesimama kwa 55 B dollars. Hakuna vile mtabaki pale pale miaka nenda miaka rudi and yet you are growing at a respectable rate of 6%. Wacheni kupika vitabu. Na kama ni currency, wacheni kumanipulate currency. Mnafanya currency iwe weak ndio Gdp iwe ndogo. Wacheni poverty mentality. Tabia mbaya sana hiyo. Mnastahili kuwa at 70B dollars bila kupika vitabu.
unadhani 35 billion usd inaokotwa chini..GDP sio cost ya projectKuna deals chache tukiweka sawa GDP itaongezeka sana hata by 35bil USD
1.LNG Plant ..Mtwara
2.Iron and Coal Mining mchcuma
3.Oil pipline
4 .Feltilizer plants in Lindi
5 Graphite exporting
GOT inachelewesha sana ku discuss hii mikitaba haswa wa LNG na iron mining
Sent using Jamii Forums mobile app
The funny thing one so called mkikuyu akili timamu will come here to castigate IMF and in another thread he was praising them... once he does that i will shove that thread down his sorry throat.
Boss these are forecasts of nominal GDP this is not Real Gdp if you understand the technical difference of the 2 terms. And I agree with the IMF forecasts as well as the IMF statement that ksh is overstated by 17.5%.Mkikuyu is already on record for praising IMF😀😀
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
I guess your low budget is fake too because you want to look poor. This is the most stupid thing I've heard in a while.
Poor ecomomist its just bitter to swallow the fact that the difference between kenya and tz keeps expanding year in year outBoss these are forecasts of nominal GDP this is not Real Gdp if you understand the technical difference of the 2 terms. And I agree with the IMF forecasts as well as the IMF statement that ksh is overstated by 17.5%.
If you remotely understood what a forecast is you wouldnt have a wank fest here with it
You cannot cherry pick IMF data that pleases your itching ears
Naona siku hizi unajielewa. GDP is just the most known not the most accurate measure of an economy. Tanzania my friend is not a joke, GNI is higher than kenya and so is PPP. The only thing that makes their real GDP go down is the value of TZS aganist $$. They are simply cheating their way into growth by avoiding expensive loans and taxes levied to middle income countriesI believe your Gdp should be bigger than that. Ninyi tu ndio hamjui kufanya hesabu. Niiteni mimi mchumi niwasaidie. Rebase that Gdp of yours and include modern industries like information technology, your new gas industry and others. Hakuna vile Uchumi wa Tanzania utakuwa umekwama at 60 B dollars for three consecutive years. Kuna shida na Imf data. Zueni balaa hadi Imf waache upuzi otherwise mtabaki at 60 B dollars for the next ten years.
Last time I checked, Kenya was doing better than Tanzania on the Global Hunger Index so I don't know what you have in mind when you speak of hunger and dying on a monthly basis.The true definition of Being pseudo rich is Like Having Huge budget, Huge Gdp and yet 46% people live below 1$ and Thousands civilians Die of hunger on monthly basis,
Which country is That?
Ni kama vile kuwa na smartphones na kuvaa suti kubwa halafu jioni Unarudi kulala KiBera.
buda do pp per capita and bring it here..economist mwituNaona siku hizi unajielewa. GDP is just the most known not the most accurate measure of an economy. Tanzania my friend is not a joke, GNI is higher than kenya and so is PPP. The only thing that makes their real GDP go down is the value of TZS aganist $$. They are simply cheating their way into growth by avoiding expensive loans and taxes levied to middle income countries
Kwa jinsi tunvyokwenda hata uganda wakianza kunyonya mafuta watatupita, kwa mdomo tutawakaribia nigeria au kuwapita zaidiMwendo huo huo hakuna kuachia, tunabanana bumper to bumper, ila sasa tofauti ya Kenya na watani wetu Tanzania inazidi na itazidi kuongezeka, nakumbuka humu humu tuliambiwa kwamba wataipita Kenya kwa siku 100 za kwanza za Magufuli.
Kikubwa cha kufahamu kwanni Kenya haitopitwa hivi hivi ni kwamba, nchi yetu inategemea raslimali watu, yaani nguvu kazi au human resource, wachapa kazi wa kujituma na kuonyesha matokeo.
Good eveningThe true definition of Being pseudo rich is Like Having Huge budget, Huge Gdp and yet 46% people live below 1$ and Thousands civilians Die of hunger on monthly basis,
Which country is That?
Ni kama vile kuwa na smartphones na kuvaa suti kubwa halafu jioni Unarudi kulala KiBera.
Watanzania waulize yanga na simba ukiwauliza issue ya ku rebase economy na lini walifanya , utaambiwa wewe siyo mzalendoMbona rebasing mumefanya juzi tu kwanza mkaruka asilimia 32% hata kuzidi Kenya, lakini bado mpo mbali sana, yaani pengo limeongezeka hadi sasa hata mkipewa Uganda iwe yenu bado hamtakua mumetufikia, pamoja na kwamba nyie tayari hapo ni muungano wa nchi mbili, Zanzibar na Tanganyika, sasa mpewe Uganda na Burundi.
You are beyond ignorant, Aggregate GDP Data is more accurate as a meesure of an economy than per capita statistics.buda do pp per capita and bring it here..economist mwitu