2019 laki moja inanunua nguo nne tu

System ya kuwazoesha watoto eti kuwanunulia nguo ni mpk sikukuu ni ya kishamba sana.
siku zote utawanunulia pia,,ni wajibu wako kuhakikisha wanavaa na kupendeza daily,,ila sio fair sikukuu yote hiyo mtoto avae mtumba wa ulomnunulia tandale miezi minee ilopita mkuu,mwache mtoto afurahie sikukuu,,kwa mtoto sikukuu ni kupendeza na kupiga madikodiko hapo home na kuwewa pocket money
 
Nenda mtumbani suruali mf.12000 ukarekebishe kwa fundi 3000 hadi 5000 au akuharibie kabisa.Hii naongelea maduka ya kawaida sana.Mitumba inaanza kupotea siku hizi na kwa nini uvae mtumba?
Mbeya mwenge jinsi Kali ya mtumba elfu7 hadi elfu10 na huwezi kuitofautisha na ya dukani,shati LA mtumba LA elfu5 au 6 au 7 Kali km LA dukani achana na mitumba lapulapu ukichukua mtumba quality ni we tu peke yako ndo utakuwa unajua umevaa mtumba
 

Wengine ndo mazingira mliyojiwekeaa kwamba ukiwa na mshahara basi nyingi maduka yenu ni sinza, mwenge na m city
Wakati ukiingia kariakoo kadet 18 adi 20
Tshirt 15
 
Hakuna ubaya, pesa yako mkuu.
Ukiwa na laki na nusu nyingine haina ramani kavute buti moja classic.
Haijaibiwa wala nini, ni vile tu wengine wanapenda mitumba. Sio kila mtu anafeel kuvaa nguo used za mtumbani.
 
Tena vitoto hata vya miaka miwili kikipendeza kinajijua utakiona kinajishebedua na kufurahi.
 
Hiyo pesa ni nyingi sana kwa nguo, ata sijui ww umeendea maeneo gani
 
Cardet mm nanunuaga elfu 50, shati 40,000, singlend mbili 10,000 au boxer moja 10,000/. So bado upo vzuri
 
Maadui watatu-ujinga, maradhi na umasikini
 
all in all kwa kkoo cardet quality nzuri kbsa inaanzia 35000/=.
japo za kuanzia 15000
 
Hujaenda karume mkuu ungeondoka na kiroba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…