darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
All The BestZangu dua tu
Kodi zake ni kubwa sana unakuta gari kama hiyo kodi inaendana na bei ya kununulia..Mkuu hivi why bei za magari bongo ni mkasi namna hii unakuta gari ya 10years ago +mileage ila bei noma shida nini??
Dah kweli bongo nyosoKodi zake ni kubwa sana unakuta gari kama hiyo kodi inaendana na bei ya kununulia..
Yapo magari ya kawaida tu kodi 40m 50m mara 35m na magari ya uongo tu ndio maana Watanzania wanajificha kusifia vigari vidogo huku magari mazuri yakienda Zambia,Malawi na Zimbabwe wenye kodi nafuu yanapita transit kwetu..Dah kweli bongo nyoso
Gharama Za Kuitoa Pale Bandarini Ukianza Na Ushuru Wenyewe Ndio Mziki Unaanzia HapoMkuu hivi why bei za magari bongo ni mkasi namna hii unakuta gari ya 10years ago +mileage ila bei noma shida nini??
Kwahiyo mkuu kwa uzoefu wako gari iliyotengenezwa 2019 kodi kwa ujumla inaweza kufanana na bei uliyonunulia gari?Yapo magari ya kawaida tu kodi 40m 50m mara 35m na magari ya uongo tu ndio maana Watanzania wanajificha kusifia vigari vidogo huku magari mazuri yakienda Zambia,Malawi na Zimbabwe wenye kodi nafuu yanapita transit kwetu..
Inategemeana na aina ya gari ila kwa hizi Luxury inawezekana au truck sasa hivi Scania XT ya 2019 kodi ni kuanzia 65m za kitanzania naona hawataki tutumie Scania.Kwahiyo mkuu kwa uzoefu wako gari iliyotengenezwa 2019 kodi kwa ujumla inaweza kufanana na bei uliyonunulia gari?
Tena lakitambo ndio unanyooshwa zaid na kodi ya uchakavu ni soo bongo gar ni anasa wanaona vigogo wetu wala kodiKwahiyo mkuu kwa uzoefu wako gari iliyotengenezwa 2019 kodi kwa ujumla inaweza kufanana na bei uliyonunulia gari?
Kwahiyo kwa kampuni ya Toyota nako jeInategemeana na aina ya gari ila kwa hizi Luxury inawezekana au truck sasa hivi Scania XT ya 2019 kodi ni kuanzia 65m za kitanzania naona hawataki tutumie Scania.
Aisee ni hatari mno...nilijua gari iliyotengenezwa 2019 itakuwa kodi ni nusu ya bei uliyonunulia gariTena lakitambo ndio unanyooshwa zaid na kodi ya uchakavu ni soo bongo gar ni anasa wanaona vigogo wetu wala kodi
Toyota wenye nafuu ni pick up double cabin za kuanzia 2023 naona kodi yao ni 22m ila pick up hizo hizo miaka ikishuka chini zipo za 34m.Kwahiyo kwa kampuni ya Toyota nako je
Aisee tunafanyiana nongwa kweli ili tusimiliki magariToyota wenye nafuu ni pick up double cabin za kuanzia 2023 naona kodi yao ni 22m ila pick up hizo hizo miaka ikishuka chini zipo za 34m.
Toyota hiyo hiyo Fortuner ya 2020 wanataka kodi 39m na ukichukua ya 2022 kodi inaenda kuanzia 42m na kuendelea wameziweka kwenye makundi ya magari ya Starehe..
Rav 4,Urban Cruiser au cross kodi yake kichefuchefu.
Gari ya 2022 kodi iwe milion 42 huu ni ukatili sanaToyota wenye nafuu ni pick up double cabin za kuanzia 2023 naona kodi yao ni 22m ila pick up hizo hizo miaka ikishuka chini zipo za 34m.
Toyota hiyo hiyo Fortuner ya 2020 wanataka kodi 39m na ukichukua ya 2022 kodi inaenda kuanzia 42m na kuendelea wameziweka kwenye makundi ya magari ya Starehe..
Rav 4,Urban Cruiser au cross kodi yake kichefuchefu.
Tusubiri ifike kwa Magari used Dar tuinunue kwa million 20 na laki 8 tajiri.Bei/Price🏷️👉🏾TSH 113M
Call📞+255 (0) 747 999 927
MERCEDES BENZ GLC 220d
Year: 2019
Engine: 1,950Cc
Mileage: 81,000+Km
Fuel Used⛽: DIESEL
Transmission: AUTOMATIC
✨Sport Rims
✨Back Camera
✨Push To Start
✅100% Duty Paid
✅Swap Deals Available
✅Zero Registration Cost
View attachment 3662788View attachment 3662789View attachment 3662790View attachment 3662791View attachment 3662792View attachment 3662793View attachment 3662794
Hao Malawi si wanatumia bandari yetu , au Kuna tofauti kati ya Kodi ya bandari na Kodi ya gari kutumia nchini?Yapo magari ya kawaida tu kodi 40m 50m mara 35m na magari ya uongo tu ndio maana Watanzania wanajificha kusifia vigari vidogo huku magari mazuri yakienda Zambia,Malawi na Zimbabwe wenye kodi nafuu yanapita transit kwetu..
Hahaahaaaaa🤣Wewe Huogopi Mzee?Tusubiri ifike kwa Magari used Dar tuinunue kwa million 20 na laki 8 tajiri.