RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
-
- #241
Yes, inahuzunisha saana. Sometimes vijana wanaokwenda vyuo vya ufundi wanafanya kazi vizuri kuliko hata wasomi wa chuo kikuu.Mwanafunzi anakariri tu vitabu halafu kwenye mtihani akipasi anajisifia na kutamba
Lakini maisha yakianza ndio anaanza ujanja ujanja tu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni kweli kabisa tena akiwezeshwa na akapata vitendea kazi vya uhakika na UAMINIFU anaweza kutengeneza hela kuliko msomi mkubwa wa kuririYes, inahuzunisha saana. Sometimes vijana wanaokwenda vyuo vya ufundi wanafanya kazi vizuri kuliko hata wasomi wa chuo kikuu.
Umetisha... [emoji23] [emoji23]S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
[emoji19][emoji19]Huu uzi mzuri sana,people are talking of 2019 cars wakati mimi ndio kwanza niko na used langu kutoka Japan la 2001!ila nasumbua kiasi,kwani huku mtaani kwetu hayo ma S-class na ma Nissan Leaf hawayajui kabisa...
Kabisa yaani. Na viwandani wanawapenda saana. Maana wanafanya kazi nzuri na expectation ya malipo sio kubwa kama waliomaliza vyuo vikuu.Ni kweli kabisa tena akiwezeshwa na akapata vitendea kazi vya uhakika na UAMINIFU anaweza kutengeneza hela kuliko msomi mkubwa wa kuriri
Hebu fikiria kijana mechanics au electrician akawa na kila kitu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hehehee. Sio lazima uwe nalo mkuu. Wakati mwingine hobby inakufanya ufurahie kujua nini kinaendelea kwenye hiyo industry. Kuna watu wanamiliki hayo magari lakini hawayafahamu vizuri features za magari hayo. Hujawahi kuona dereva hajui kutoa tairi pindi anapopata pancha?Huu uzi mzuri sana,people are talking of 2019 cars wakati mimi ndio kwanza niko na used langu kutoka Japan la 2001!ila nasumbua kiasi,kwani huku mtaani kwetu hayo ma S-class na ma Nissan Leaf hawayajui kabisa...
Kabisa. Nafikiri ni rahisi kununua gari huko kuliko hapa kwetu. Maana hata ukilinunua huko, ukija kwetu jua kodi inakusuburi.[emoji19][emoji19]
Kweli itachukua miaka mingi sana kuona watu wengi wakinunua magari mapya kama wanavyonunua smartphones
Kwani bei ni kubwa sana kiasi kwamba kwa mshahara huo wanaoweza kumudu ni wachache sana
Kinachosaidia mataifa mengine ni Instalments za kila mwezi kwa hiyo unanunua kutokana na bajeti yako na mshahara wako ulivyo na unakatwa kila mwezi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Halafu kodi yenyewe ya kukomoanaKabisa. Nafikiri ni rahisi kununua gari huko kuliko hapa kwetu. Maana hata ukilinunua huko, ukija kwetu jua kodi inakusuburi.
Hehehee! Ila with time mambo yatakaa vizuri. At the moment bado kwa kweli.Halafu kodi yenyewe ya kukomoana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nachukia Toyota japo kuna Toyota Harrier nimepewa zawadi miaka 5 iliopita.
Hata simu za mkononi.Oh, okay. Daa! Jamaa wanarahisishiwa maisha kweli kweli yaani. Hii kitu safi saana. Ndio maana wanaweza kununua new cars.
Hiyo ndo Tanzania.Yaani hii huwa inaumiza saana. 2010 tunaongelea almost 10 yrs ago now, lakini mpaka sasa gari la mwaka huo kwa spares ni kimeo hapa kwetu. Mie huwa nashangaa unakwenda kwenye garage kubwa kabisa lakini oil filter wanafungua kwa kamba. Unajiuliza hawa watu wako karne gani. Mbona kuna tools za kufungulia na ziko cheap kabisa. Hapo na imani inapotea. Kila kitu wanafungua kwa kugonga na nyundo. Sasa electric car uje ugonge na nyundo kutoa ball joint, si unaharibu motors zote na battery kabisa.
Kwa dunia ya kwanza hizi features unaziamini bila tatizo.Hehehee! Kweli mwanzoni ni ngumu saana. Kuna hiyo park assist, kuna ile adaptive cruise control na lane keep assist. Zote huwa siziamini hata kidogo. Naona zinaleta stress tu kwa kweli.
Duu! Halafu huku mtu ananunua iPhone kwa Tshs 3.7m cash na kuitumia kwa WhatsApp na occasional phone calls tu.Hata simu za mkononi.
Na dealers wengine ujanja ujanja tu. Usipokuwa makini wanakucharge bei kubwa halafu spares wanafunga za mtaani. Ilishanikuta hii.Hiyo ndo Tanzania.
Kama hujapeleka gari yako kwa dealership, huko mtaani ni pata potea.
Kweli mkuu. Huku kwetu ni ngumu saana. Bado suala la miundombinu halijawa standard. Kuna sehemu unakwenda unakuta jamaa wameweka bumps za ajabu mpaka gari linagusa. Sasa unajiuliza lengo lao ni magari kupunguza mwendo au kushindwa kupita kabisa.Kwa dunia ya kwanza hizi features unaziamini bila tatizo.
Ila huku kwetu, ukiziamini utashangaa daladala ya gongo la mboto imeshakupiga pasi kwenye lane yako.
Na signs nyingi bongo zimefutika au hazipo sehemu zinapotakiwa kuwepo, mistari barabarani imefutika kabisa, gari itaonaje hapo? Itakutupa mtaroni.
Kabisa mkuuKweli mkuu. Huku kwetu ni ngumu saana. Bado suala la miundombinu halijawa standard. Kuna sehemu unakwenda unakuta jamaa wameweka bumps za ajabu mpaka gari linagusa. Sasa unajiuliza lengo lao ni magari kupunguza mwendo au kushindwa kupita kabisa.
Jiloge hiyo Calculator ni ya Used usije ukaagiza ndinga mpya ikakutokea puaniMkuu kwa mfano ukichek audi A8 ya 2018 kodi ya tra ni Tsh.54mil wkt ukuchek S-class ya 2018 inaleta 117mil mkuu.
Na ni kwa gari zote za audi ukilinganisha za same class/year na za bimmer/benz unakuta tofauti ni kubwa tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia Volkswagen Tourege W12. Ina cylinder 12 na zimekaa W shape. 0 to 60 ni 3Sec. Features zake ni balaaMkuu kama packing inatafuta na kuingia yenyewe unaonaje hiyo
Na taa zake zinafuata matairi wakati unakata kona
Ina safety features kibao
Lakini wanachuana na gari nyingi sana
Maana kila mmoja anataka kumuonyesha mwenzake kuwa nae ni kiboko
Sent from my SM-G570F using Tapatalk