2019 Mercedes S Class

Hata Discovery 5 haijakaa kama 4 au 3.

Napenda gari zenye boxy shape.

Kwanini hawajaretain model yao kama Merc G63 au G65? Ambao wana miaka almost 40 na muonekano uleule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo trend ya gari nyingi. Si umeona hata Volvo gari maarufu kwa muundo wa box, nao wameleta matoleo ya kimayaiyai. Ukianzia na S90 na hata XC90 ya kuanzia 2015.
 
Road trips na barabara zetu hizi? Si kutafuta majanga!!
Hehehee! Imebidi nicheke. Last month nilifanya road trip kidogo. Nikiwa kwenye high speed ghafla naona jiwe kubwa mbele yangu nikashindwa kulikwepa. Kilichofuata hapo mmh, ni balaa. Sasa nikabaki najiuliza hilo jiwe lilifikaje hapo?
 
Ndiyo trend ya gari nyingi. Si umeona hata Volvo gari maarufu kwa muundo wa box, nao wameleta matoleo ya kimayaiyai. Ukianzia na S90 na hata XC90 ya kuanzia 2015.
Kweli. Ni baadhi ndio wameamua kukaza. G wagon kwa mfano. Hata Land Cruiser kidogo halibadiliki saana. Huwezi kutana nalo ukabaki unajiuliza ni gari gani.
 
Mimi ni mpenzi wa Volvo. Sasa XC90 ya kuanzia 2015 utafikiri Audi Q7 au VW Touareg
 
Nafikiri ziko class moja na Q7, hata bei hazipishani saana. Hizo sina tatizo nazo kabisa.
 
Ndiyo trend ya gari nyingi. Si umeona hata Volvo gari maarufu kwa muundo wa box, nao wameleta matoleo ya kimayaiyai. Ukianzia na S90 na hata XC90 ya kuanzia 2015.
Walitakiwa wawe na identity yao ya kudumu.

G wagon inafahamika hata kwa mtoto mdogo.
 
Natamani sana kuagiza hii gari Volvo xc60 ila naambiwa spares zake hakuna je ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…