Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hapa wanatupiga tu maana wameona japan aliwapiga sanaMie jamaa sijapenda hii trend yao ya sasa ya kuzalisha Range Rover za aina nyingi. Bora wangebaki mbili kama mwanzo.
Tena sasa hivi nafikiri model zote za S Class zina V12 engines.S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
Audi hazina soko saana kama Mercedes na BMW. Hata huko Ujerumani.A8 iko poa sana nayo,afu sijui ni kwanini Audi kwny calc. Ya Tra kodi yake inakuaga ni cheap kulinganisha na gari za same class,same year za Bmw&benz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri Magu ana li 7series lake. Kuna jamaa alisema ni gari lake binafsi. Ila kwa Ikulu nafikiri wanatumia S Class. Huwa naziona saana kwenye misafara.Kweli aisee mkuu ila ziko complicated pia.
Kwny msafara wa Magu/Majaliwa/Mama samia kuna mmojawao anatumia S-class na mwingine anatumia 7-series ila sikumbuki ni mh. gani kati ya hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie jamaa sijapenda hii trend yao ya sasa ya kuzalisha Range Rover za aina nyingi. Bora wangebaki mbili kama mwanzo.
Lakini Audi zipo sana na zinauzikana sana mkuuAudi hazina soko saana kama Mercedes na BMW. Hata huko Ujerumani.
Mkuu labda wanaona jina tu Mercedes Benz ndio linawachanganya maana Audi A8 kwa bei iko juu pia na kuna moja iko bei zaidi ya baadhi ya S class MercedesA8 iko poa sana nayo,afu sijui ni kwanini Audi kwny calc. Ya Tra kodi yake inakuaga ni cheap kulinganisha na gari za same class,same year za Bmw&benz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu labda wanaona jina tu Mercedes Benz ndio linawachanganya maana Audi A8 kwa bei iko juu pia na kuna moja iko bei zaidi ya baadhi ya S class Mercedes
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Lakini Audi zipo sana na zinauzikana sana mkuu
A,Q na Rs na S line zimetapakaa sana siku hizi zipo ndogo A1 mpaka A8
Ziko poa sana
Ila kuna gari ilikuwa ya Czech na wamenunua vw inaitwa Skoda ni bei rahisi na ni nzuri sana hata kwa uendeshaji wake
Niliendesha Octavia imetulia sana
Kwa kweli German ni habari nyingine kwa gari zake zote
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nafikiri Magu ana li 7series lake. Kuna jamaa alisema ni gari lake binafsi. Ila kwa Ikulu nafikiri wanatumia S Class. Huwa naziona saana kwenye misafara.
Saana. LS iko poa saana. Japo siku hizi muonekano wake kwa kweli huwa haunivutii sana. Pale mbele wamelitengeneza limekuwa aggressive saana.Ila duniani kuna watu wanaenjoy magari,kitu unakuta S- class V12 AMG,yaani daaah.
Ni kweli aisee,hio LS niliona toyota version yake Toyota celsior model ya 2004 trim level aisee mle ndani tech iliyokuwepo ni balaa mpk watu wa benz walishtuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari la JLR karibu zote zina shida ya reliability. Wanaozipenda wanaziita "special car" kama ilivyo kwa a special child. Mara nyingi ni kimeo.Jaguar XJ 2010 nimeshaiendesha,ndani kama ndege vile,ila interior design ikianza kuji-peel ni balaa na reliability yake sikuipenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Bongo sijui kwa nini hizi gari ni chache saana.Aisee lakini mimi naziona ziko poa na zimetulia sana
Kama ni gari endesha hizo mzee kwani zimetulia sana
Hii XJ wametoa autobiography ina extra nyingi sana dashboard yake ni mahogany na interior design yake ni ajab
Nilienda kuichukua Cardiff yaani ni bonge la gari
Ni 5.0 lt V8 supercharge petrol
Wameweka mpaka local channel tv ila cha ajabu passenger anaangalia kwenye screen ya mbele lakini wewe huoni kama gari iko on na inatembea
Heated seat na heated steering kila kitu ndani mpaka mwamvuli hahaa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hehehee, usipite kando bana. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Mambo makubwa yanaanzia mbali saana.huu uzi wa kikubwa ngoja nipite kando
Cha mwaka gani? Kama kale ka zamani bora ununue IST tu kwa kweli. Ila siku hizi kidogo wamekapa muonekano mzuri kuliko ule wa model ya kwanza.A class 160 inanitosha hizo S class sina uwezo nazo
Aisee ni kweli mkuu,gari nyingi za miaka hii zimekua na muundo wa hovyo sana.Saana. LS iko poa saana. Japo siku hizi muonekano wake kwa kweli huwa haunivutii sana. Pale mbele wamelitengeneza limekuwa aggressive saana.
Kumbe mnanunua magar ili mtongoze wanawake bila kuongeaS-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
Hahah ni kweli mkuu,nilijashionea mwenyewe.Gari la JLR karibu zote zina shida ya reliability. Wanaozipenda wanaziita "special car" kama ilivyo kwa a special child. Mara nyingi ni kimeo.