2019 Mercedes S Class

Audi wanaiita practical car. Yaani inafaa saana kwa matumizi ya kila siku, ukiacha kina RS.
1. Mercedes - luxury, technology and comfort
2. BMW - the ultimate driving machine.Yaani nyingi ni sporty, very fun to drive
3. AUDI - practicality (zina space ya kutosha)
4. Lexus LS - Reliability and technology
 
Hahah ni kweli mkuu,nilijashionea mwenyewe.

Hilo linatakiwa Kutoka J2 kwa J2.

By the way ngoja niingize mada isiyohusika,nilikua naangalia mziki wa Jeep Srt8 aisee si wa kitoto mkuu.umeshawahi kuifuatilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu! Nimelichungulia kwa mbali. Ngoja nitalifuatilia nilijue.
 
Usijali mkuu jikune unapojiweza.

Kama uwezo ni kunywa supu ya pweza.,yote kheri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu mimi Nipo mkoan hiyo supu hata rang yake siijui
Papuchi ninakula mpaka nazipa likizo ya Siku mbili mbili nisikonde
Yaan hawa wanawake nimewapa ratiba kila mtu na siku zake za kulala nae
Sasa Nyie mnakwama wapi Tanzania yote lami??? Mzee baba ni kuteleza tuu mtwara mpaka bukoba, mwanza Mara, arusha klm wewe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah nimecheka sana aisee.

Ukisikia car enthusiast unaelewa nini mkuu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee.
 
Audi ninazo zitamani ni S10 na Rs6 Avant hii ni ultimate sleeper mambio yake si ya mchezo mchezo aisee.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwaka jana niliendesha R8 V10 ina button nyekundu kwenye usukani ukibonyeza hiyo huhitaji mziki bali sauti ya exhaust inatosha
Inakimbia haswa ila huku speed limit ndio zinatukomesha
Ingawa kuna sehemu ambayo unaenda kulipia na kuchagua aina ya gari unayotaka na kuiachia unavyotaka


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Safi saana. Hayo madude kuyaendesha au hata kuingia ndani tu, unajisafishia nyota balaa. Huwezi kununua GX110, hata kama itapatikana kwa bei ndogo.
 
Maintenance yake mkuu na thamani pia
Vipato vidogo na umaskini mkuu
Kama ajira zinalipa wengi wangeweza kununua


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Lakini mbona jamaa wananunua ma Nissan Patrol na Land Cruisers za kisasa? Au vile hazina reliability issues zana kama hizo?
 
Aisee tofauti kubwa sana
Bora Audi duu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hiyo tofauti ni kubwa sana aise. Maana hizo gari zikiwa mpya, base price zinapishana kidogo saana. Sio kwa kiasi kikubwa hivyo. Sasa sielewi why kodi inakuwa toafuti hivyo.
 
Lakini mbona jamaa wananunua ma Nissan Patrol na Land Cruisers za kisasa? Au vile hazina reliability issues zana kama hizo?
Inawezekana hazina complications nyingi na mawakala wa spare wapo wengi na ni gari zilizokuwepo kwa miaka huko
Na hata kuzitengeneza mechanics wanazijua zaidi

Ukiangalia hata Benz ni wachache sana wanaoweza kutengeneza zikiharibika


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hii ni kweli. Ndio maana magari ya Japan yamejaa saana Tanzania.
 
Hiyo tofauti ni kubwa sana aise. Maana hizo gari zikiwa mpya, base price zinapishana kidogo saana. Sio kwa kiasi kikubwa hivyo. Sasa sielewi why kodi inakuwa toafuti hivyo.
Kweli yako maana A8 top of the range unapata mpaka kwa £90,000
Na S class Mercedes zipo za chini ya bei hiyo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…