darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Hili swali niliulizwa na mjomba yangu baada ya kupishana na howo 5 zimeongozana zote za mtu mmoja na wakati huo sisi tupo kwenye pikipikiOya mnapata hela wapi wanetu
Kuwa chawa wa mamaOya mnapata hela wapi wanetu
Changamoto ya kununua gari kwa Muhindi au Muarabu au Singa Singa ni Kwamba hilo gari unalonunua ipo siku litageuka kuwa Jeneza la kukuua kupitia ajari mbaya kama ya yule Sheikh kule Kondoa Dodoma.
Magari mengine unanunua kumbe ni makafara ya damu yanahitajika...unatolewa kafara na hela pia umempa.
Bora uagize zako Japan tu kule hakuna Shiriki, ila haya Magari ya wabongo ukinunua au Kuazima yale Yale ya Sharo Milionea unakwepa mtu Barabarani ukiwa mwendo Kasi kumbe ndiyo unaenda kujiua kwa ajari
Mimi Nimenunua Sana Magari Ya Wahindi Na Waarabu Na Nimetembelea Nayo Zaidi Ya Kipindi Cha Mwaka Mmoja Ila Hakuna Kitu Kama Hicho Unachosema Kikubwa Ni Kuomba Ulinzi Wa Mwenyezi MunguChangamoto ya kununua gari kwa Muhindi au Muarabu au Singa Singa ni Kwamba hilo gari unalonunua ipo siku litageuka kuwa Jeneza la kukuua kupitia ajari mbaya kama ya yule Sheikh kule Kondoa Dodoma.
Magari mengine unanunua kumbe ni makafara ya damu yanahitajika...unatolewa kafara na hela pia umempa.
Bora uagize zako Japan tu kule hakuna Shiriki, ila haya Magari ya wabongo ukinunua au Kuazima yale Yale ya Sharo Milionea unakwepa mtu Barabarani ukiwa mwendo Kasi kumbe ndiyo unaenda kujiua kwa ajari
HongeraMimi Nimenunua Sana Magari Ya Wahindi Na Waarabu Na Nimetembelea Nayo Zaidi Ya Kipindi Cha Mwaka Mmoja Ila Hakuna Kitu Kama Hicho Unachosema Kikubwa Ni Kuomba Ulinzi Wa Mwenyezi Mungu
Huyu apuuzwe.Changamoto ya kununua gari kwa Muhindi au Muarabu au Singa Singa ni Kwamba hilo gari unalonunua ipo siku litageuka kuwa Jeneza la kukuua kupitia ajari mbaya kama ya yule Sheikh kule Kondoa Dodoma.