2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki.

Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga

Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James Mdee.

Lakini hatutawasahau pia Suzan Maselle, Selasini, Komu, Silinde, na wale waliobatizwa Covid 19.

Spika Job Ndugai naye hatasahaulika kwa usimamizi wake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Spika na naibu wote ccm, 95% ya wabunge ni ccm alafu tuseme kuna bunge TZ!?
 
Hivi bunge letu tunaweza kushauri bunge la nchi gani ili wakajifunze huko?, Tume ya uchaguzi waende wakajifunze Ghana!, Bunge wakajifunze wapiiii?
 
Back
Top Bottom