Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Mkuu naongelea uchaguzi wa ndani ya ccm uliojaa makundi , kundi la lowasa ,kikwete,kundi jipya la wasaka tonge nani ataibuka kidedea kati ya ccm kindakindaki na ccm wachumia tumbo ,wasaka vyeo bendera fuata Yaani vita kati ya vingunge na vikwete.kama sheria na tume ya uchaguzi itabaki kama zamani hakuna jipya ccm inapeta kwa kishindo kikuuu
kama sheria na tume ya uchaguzi itabaki kama zamani hakuna jipya ccm inapeta kwa kishindo kikuuu
hakuna jipya mkuu hizi porojo za chura tu ng'ombe hawezi acha kunywa maji ishu tume huru hapo nitakubaliViongozi wa upinzani wajue wasipotuongoza kudai tume huru ya uchaguzi, sisi wapiga kura wao hatuwezi kushiriki huu ushenzi unaoendelea hivi sasa. Hatutakuwa na muda wa kwenda kupanga mstari kupiga kura ambazo hatujui usalama wake.
ndani ya chama mimi sioni kama mtu ataamua kusimama na magufuli maana sheria yao ni ngumu kidogo hawa wengine watasubiri 2025Mkuu naongelea uchaguzi wa ndani ya ccm uliojaa makundi , kundi la lowasa ,kikwete,kundi jipya la wasaka tonge nani ataibuka kidedea kati ya ccm kindakindaki na ccm wachumia tumbo ,wasaka vyeo bendera fuata Yaani vita kati ya vingunge na vikwete.