cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Salamu tele kwenu,
Nikiwa kama mdau wa humu ndani naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020, na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge.
Mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015 ilikuwa mtamu sana sana kuburudika. Yule mkaka anakatika sana kwa baada ya kampeni moja na kura mutu tukamchagua. Mnikumbushe basi alivaa rangi gani pia.
Smile 😊
Mwananchi,
Cocochanel