cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Rudi shule ukijifunze kuandika, na mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna maagizo ya Magufuli kuwa nani atangazwe mshindi.
Sijakuelewa
Maagizo ya nyimbo au?
Muhamiaji haramu usiyejua lugha ya Kiswahili. Rudini kwenu hatuwataki maana mumetuharibia nchi!Salamu tele kwenu,
Nikiwa kama mudau wa humu ndani.. naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020.. na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge.. mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015.. ilikuwa mutamu sana sana kuburudika. Yule mkaka anakatika sana kwa baada ya kampeni moja na kura mutu tukamuchagua.. munikumbushe basi alivaa rangi gani pia. Smile 😊
Mwananchi,
Cocochanel
Nyimbo ya nini, kwani kuna uchaguzi?
Ni Roho Ngumu!!🙄😏😏😏🙄🙄
Muhamiaji haramu usiyejua lugha ya Kiswahili. Rudini kwenu hatuwataki maana mumetuharibia nchi!
Rudi shule ukijifunze kuandika, na mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna maagizo ya Magufuli kuwa nani atangazwe mshindi.
Tena wa CHATO.
Mimi nimeona upinzani wanajipanga kugombea Uraisi au unapoongelea sio nchi hii?
Kuandika nini nijue zaidi na umenisoma?
Msiposhiriki litakiwa jambo jema sana. Hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hamkushiriki na maisha yanaenda fresh tu!Wajipange maana ni haki yao, ila wapiga kura wa upinzani hawana muda wa kushiriki uchaguzi wa kihuni bila tume huru ya uchaguzi.
Serikali za mitaa! Unaelewa kinachoendelea huko na athari zake kwa maendeleo ya nchi? Kama hujui kuwa hakuna ushirikiano wa kutosha na hilo litakwamisha ufanisi kakojoe ulale tuu.Msiposhiriki litakiwa jambo jema sana. Hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hamkushiriki na maisha yanaenda fresh tu!